"Data ya Simu"
"Huduma za Simu"
"Kipigaji cha Dhararu"
"Simu"
"Orodha ya FDN"
"Haijulikani"
" Number isiyojulikana"
"Simu ya kulipia"
"Imesitishwa"
"Ujumbe wa %s"
"Ujumbe wa Mtoa Huduma"
"Msimbo wa MMI umeanza"
"Msimbo wa USSD unafungua"
"Msimbo wa MMI umeghairiwa"
"Ghairi"
"Ujumbe wa USSD lazima uwe kati ya herufi %1$d na %2$d. Tafadhali jaribu tena."
"Dhibiti simu ya kongamano"
"Sawa"
"Spika"
"Kipaza sauti cha kichwani"
"Viskizi vya maskio pasiwaya"
"Bluetooth"
"Ungependa kutuma toni zifuatazo? \n"
"Inatuma toni\n"
"Tuma"
"Ndiyo"
"Hapana"
"Badilisha kibambo egemezi na"
"Nambari ya sauti inayokosekana"
"Hakuna nambari ya ujumbe wa sauti iliyohifadhiwa katika SIM kadi."
"Ongeza nambari"
"Mipangilio ya ujumbe wa sauti inaweza kubadilishwa na Mtumiaji wa Msingi Pekee."
"Kadi yako ya simu imefunguliwa. Simu yangu inafungua…."
"PIN ya kufungua mtandao wa SIM"
"Fungua"
"Ondoa"
"Inaomba mtandao ufunguliwe…."
"Ombi la kufungua mtandao halijafaulu."
"Umefaulu kufungua mtandao."
"Mipangilio ya mtandao wa simu za mkononi haipatikani kwa mtumiaji huyu"
"Mipangilio ya simu ya GSM"
"Mipangilio ya simu ya GSM (%s)"
"Mipangilio ya simu ya CDMA"
"Mipangilio ya simu ya CDMA (%s)"
"Majina ya milango ya mtandao"
"Mipangilio ya mtandao"
"Akaunti za simu"
"Piga simu kutumia"
"Piga simu za SIP kwa"
"Uliza kwanza"
"Hakuna mtandao unaopatikana"
"Mipangilio"
"Chagua akaunti"
"Akaunti za simu"
"Ongeza akaunti ya SIP"
"Sanidi mipangilio ya akaunti"
"Akaunti zote za simu"
"Chagua akaunti ambazo zinaweza kupiga simu"
"Kupiga simu kupitia Wi-Fi"
"Huduma ya muunganisho iliyojengewa ndani"
"Ujumbe wa sauti"
"Ujumbe wa sauti (%s)"
"VM:"
"Kupiga na kupokea simu"
"Usambazaji Mahiri"
"Ikiwa nambari moja haiwezi kufikiwa, sambaza simu kwa nambari nyingine kila wakati"
"Arifa"
"Matangazo ya dharura"
"Mipangilio ya simu"
"Mipangilio ya ziada"
"Mipangilio ya ziada (%s)"
"Mipangilio ya ziada ya simu ya GSM tu"
"Mipangilio ya ziada ya simu ya CDMA"
"Mipangilio ya ziada ya simu ya CDMA tu"
"Mipangilio ya huduma ya mtandao"
"Kitambulisho cha anayepiga"
"Mipangilio inapakia..."
"Nambari imefichwa kwa simu unayopiga"
"Namba inaonekana kwa simu zinazopigwa"
"Tumia mipangilio ya mtoa huduma chaguomsingi kuonyesha nambari kwa simu unazopiga"
"Simu inayosubiri kupokewa"
"Wakati ninapokea simu, niarifu kuhusu simu zingine zinazoingia"
"Wakati ninapokea simu, niarifu kuhusu simu zingine zinazoingia"
"Mipangilio ya kusambaza simu"
"Mipangilio ya kusambaza simu (%s)"
"Kusambaza simu"
"Sambaza kila wakati"
"Kila wakati tumia nambari hii"
"Inasambaza simu zote"
"Inasambaza simu zote kwa {0}"
"Nambari haipatikani"
"Imezimwa"
"Wakati nina shughuli"
"Wakati namba inatumika"
"Inasambaza kwa {0}"
"Imezimwa"
"Mtoa huduma wako haauni ulemezaji wa kusambaza simu wakati simu yako inashughuli."
"Nisipojibu"
"Weka namba wakati haijajibiwa"
"Inasambaza kwa {0}"
"Imezimwa"
"Mtoa huduma wako haauni ulemezaji wa kusambaza simu wakati simu yako haijibu."
"Ikiwa sipatikani"
"Wakati namba haipatikani"
"Inasambaza kwa {0}"
"Imezimwa"
"Mtoa huduma wako haauni ulemezaji wa kusambaza simu wakati simu yako haifikiwi."
"Mipangilio ya simu"
"Mipangilio ya simu inaweza kubadilishwa na mtumiaji wa akaunti ya msimamizi."
"Mipangilio (%s)"
"Hitilafu ya mipangilio ya kupiga simu"
"Inasoma mipangilio…."
"Inasasisha mipangilio…"
"Inageuza mipangilio..."
"Jibu lisilotarajiwa kutoka kwa mtandao."
"Hitilafu ya mtandao au SIM kadi."
"Imebadilisha ombi la SS kuwa simu ya kawaida"
"Imebadilisha ombi la SS kuwa ombi la USSD"
"Imebadilishwa kuwa ombi jipya la SS"
"Imebadilisha ombi la SS kuwa simu ya video"
"Mipangilio ya programu ya simu yako ya nambari za simu zilizobainishwa pekee imewashwa. Kutokana na hayo, baadhi ya vipengele vya kupiga simu havifanyi kazi."
"Washa redio kabla ya kutazama mipangilio hii."
"Sawa"
"Washa"
"Zima"
"Sasisha"
- "Chaguomsingi la mtandao"
- "Ficha nambari"
- "Onyesha nambari"
"Nambari ya ujumbe wa sauti haijabadilishwa"
"Haikuweza kubadilisha namba ya ujumbe wa sauti.\nWasiliana na mtoa huduma wako shida hii ikiendelea."
"Haikuweza kubadilisha namba ya kusambaza.\nWasiliana na mtoa huduma wako shida hii ikiendelea."
"Haikuweza kuepua na kuhifadhi mipangilio ya nambari ya usambazaji. \n Hata hivyo swichi kwa mtoahuduma mpya?"
"Hakuna mabadiliko yaliyofanywa"
"Chagua huduma ya barua ya sauti"
"Mtoa huduma wako"
"PIN ya zamani"
"PIN mpya"
"Tafadhali subiri."
"PIN mpya ni fupi mno."
"PIN mpya ni ndefu mno."
"PIN mpya ni dhaifu mno. Nenosiri thabiti halifai kuwa na herufi zinazofuatana mfululizo au tarakimu zinazorudiwa."
"PIN ya zamani si sahihi."
"PIN mpya ina herufi zisizostahiki."
"Imeshindwa kubadilisha PIN"
"Huwezi kuona ujumbe wa aina hii; piga %s ili uusikilize."
"Mtandao wa simu"
"Mitandao inayopatikana"
"Inatafuta…"
"Hakuna mitandao iliyopatikana."
"Imeshindwa kupata mitandao. Jaribu tena."
"Inasajili kwa %s….."
"SIM kadi yako hairuhusu muunganisho wa mtandao huu."
"Haiwezi kuunganisha na mtandao huu hivi sasa. Jaribu tena baadaye."
"Imesajiliwa katika mtandao"
"Tayari iko katika hali ya kuchaguliwa kiotomatiki."
"Chagua mtandao kiotomatiki"
"Haipatikani ikiwa imeunganishwa kwenye %1$s"
"Mtandao"
"Usajili otomatiki..."
"Aina ya mtandao unaoupendelea"
"Badilisha gumzo ya utendaji wa mtandao"
"Aina ya mtandao unaoupendelea"
"(hairuhusiwi)"
"Chagua mtandao"
"Hujaunganishwa"
"Imeunganishwa"
"Inaunganisha..."
"Imeshindwa kuunganisha"
- "GSM/WCDMA inapendelewa"
- "GSM pekee"
- "WCDMA pekee"
- "GSM/WCDMA otomatiki"
- "CDMA/EvDo otomatiki"
- "CDMA w/o EvDo"
- "EvDo pekee"
- "CDMA/EvDo/GSM/WCDMA"
- "CDMA + LTE/EvDo"
- "GSM/WCDMA/LTE"
- "Jumla"
- "LTE"
- "LTE / WCDMA"
- "TDSCDMA pekee"
- "TDSCDMA/WCDMA"
- "LTE/TDSCDMA"
- "TDSCDMA/GSM"
- "LTE/TDSCDMA/GSM"
- "TDSCDMA/GSM/WCDMA"
- "LTE/TDSCDMA/WCDMA"
- "LTE/TDSCDMA/GSM/WCDMA"
- "TDSCDMA/CDMA/EVDO/GSM/WCDMA"
- "LTE/TDSCDMA/CDMA/EVDO/GSM/WCDMA"
- "NR pekee"
- "NR/LTE"
- "NR/LTE/CDMA/EvDo"
- "NR/LTE/GSM/WCDMA"
- "NR/LTE/CDMA/EvDo/GSM/WCDMA"
- "NR/LTE/WCDMA"
- "NR/LTE/TDSCDMA"
- "NR/LTE/TDSCDMA/GSM"
- "NR/LTE/TDSCDMA/WCDMA"
- "NR/LTE/TDSCDMA/GSM/WCDMA"
- "LTE/TDSCDMA/CDMA/EVDO/GSM/WCDMA"
"Modi pendekezwa ya mtandao: WCDMA pendekezwa"
"Modi pendekezwa ya mtandao: GSM pekee"
"Modi pendekezwa ya mtandao: WCDMA pekee"
"Modi pendekezwa ya mtandao: GSM / WCDMA"
"Modi pendekezwa ya mtandao: CDMA"
"Modi pendekezwa ya mtandao: CDMA / EvDo"
"Modi pendekezwa ya mtandao: CDMA pekee"
"Modi pendekezwa ya mtandao: EvDo pekee"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: CDMA/EvDo/GSM/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: LTE"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: GSM/WCDMA/LTE"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: CDMA+LTE/EVDO"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: LTE/CDMA/EvDo/GSM/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: Ulimwenguni Kote"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: LTE / WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: LTE / GSM / UMTS"
"Modi pendekezwa ya mtandao: LTE / CDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: TDSCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: TDSCDMA / WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: LTE / TDSCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: TDSCDMA / GSM"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: LTE/GSM/TDSCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: TDSCDMA/GSM/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: LTE/TDSCDMA/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: LTE/TDSCDMA/GSM/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: TDSCDMA/CDMA/EvDo/GSM/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: LTE/TDSCDMA/CDMA/EvDo/GSM/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR pekee"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR / LTE"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR/LTE/CDMA/EvDo"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR/LTE/GSM/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR/LTE/CDMA/EvDo/GSM/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR/LTE/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR/LTE/TDSCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR/LTE/TDSCDMA/GSM"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR/LTE/TDSCDMA/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR/LTE/TDSCDMA/GSM/WCDMA"
"Hali ya mtandao inayopendelewa: NR/LTE/TDSCDMA/CDMA/EvDo/GSM/WCDMA"
"Kupiga simu"
"Mtandao"
"Hali Iliyoimarishwa ya 4G LTE"
"Tumia huduma za LTE ili uboreshe sauti na mawasiliano mengine (inapendekezwa)"
"Tumia huduma za 4G ili uboreshe sauti na mawasiliano mengine (inapendekezwa)"
"Data imewashwa"
"Ruhusu matumizi ya data"
"Ilani"
"Mitandao ya ng\'ambo"
"Unganisha huduma ya data wakati niko nje ya mtandao wangu wa kawaida"
"Unganisha huduma ya data wakati niko nje ya mtandao wangu wa kawaida"
"Kipengele cha kuwasha matumizi ya intaneti ukiwa nje ya mtandao wako wa kawaida kimezimwa. Gusa ili ukiwashe."
"Huenda ukatozwa ada za kutumia mitandao ya ng\'ambo. Gusa ili ubadilishe."
"Imepoteza muunganisho wa data kwa simu ya mkononi"
"Data ya mitandao ya ng\'ambo imewashwa"
"Huenda ukatozwa gharama kubwa."
"Wasiliana na mtoaji wako wa huduma za mtandao kwa maelezo kuhusu bei."
"Ungependa kutumia intaneti ukiwa kwenye mitandao mingine?"
"Matumizi ya SIM yana kikomo"
"Huenda huduma za simu na data za %1$s zikazuiwa unapotumia %2$s."
"Huenda huduma za simu na data za %1$s zikazuiwa unapotumia SIM nyingine."
"Matumizi ya data ya programu"
"%1$s za data ya mtandao wa simu zimetumika kuanzia %2$s"
"Mipangilio ya Kina"
"Mtoa huduma"
"mtoa huduma za mtandao, esim, sim, euicc, badilisha watoa huduma za mtandao, ongeza mtoa huduma za mtandao"
"%1$s — %2$s"
"Data ya mtandao wa simu"
"Tumia data ya mtandao wa simu"
"Je, unataka kuzima data ya mtandao wa simu?"
"Unahitaji kuchagua"
"Unataka kubadilisha SIM ya data?"
"Je, unataka kutumia data ya mtandao wa simu wa %1$s badala ya %2$s?"
"Kupiga simu kupitia Wi-Fi"
"Kupiga simu kupitia kampuni ya simu"
"Chaguo za GSM/UMTS"
"Chaguo za CDMA"
"Matumizi ya data"
"Data iliyotumika katika kipindi cha sasa"
"Muda wa matumizi ya data"
"Sera ya kasi ya data"
"Pata maelezo zaidi"
"%1$s (%2$d٪) imetumika kati ya kipindi cha juu cha %3$s\nKipindi kijacho kinaanza baada ya siku %4$d (%5$s)"
"%1$s (asilimia %2$d) ya upeo wa muda wa %3$s"
"Upeo wa %1$s umepitwa\nKasi ya data imepunguzwa hadi kilobaiti %2$d kwa sekunde"
"%1$d٪ ya mzunguko imekamilika\nMuda ufuatao unaanza baada ya siku %2$d (%3$s)"
"Kasi ya data imepunguzwa hadi kilibaiti %1$d kwa sekunde kama kiwango cha matumizi ya data kimepitwa"
"Maelezo zaidi kuhusu sera ya matumizi ya data ya mtandao wa mtoa huduma wako"
"SMS ya Matangazo ya Simu"
"SMS ya Kutangaza Seli"
"SMS ya Kutangaza Seli imewezeshwa"
"SMS ya Kutangaza Seli imelemazwa"
"Mipangilio ya SMS ya Matangazo ya Simu"
"Tangazo la Dharura"
"Utangazaji wa Dharura umewezeshwa"
"Tangazo la Dharura limelemazwa"
"Usimamizi"
"Usimamizi umewezeshwa"
"Usimamizi umelemazwa"
"Matengenezo"
"Matengenezo yamewezeshwa"
"Ukarabati umelemazwa"
"Habari za Jumla"
"Habari za Biashara na za Fedha"
"Habari za Michezo"
"Habari za Burudani"
"Ya nchini"
"Habari za nchini zimewezeshwa"
"Habari za nchini zimelemazwa"
"Mkoa"
"Habari za mkoa zimewezeshwa"
"Habari za Mkoa zimelemazwa"
"Kitaifa"
"Habari za kitaifa zimewezeshwa"
"Habari za kitaifa zimelemazwa"
"Kimataifa"
"Habari za kimataifa zimewezeshwa"
"Habari za kimataifa zimelemazwa"
"Lugha"
"Chagua lugha ya habari"
- "Kiingereza"
- "Kifaransa"
- "Kihispania"
- "Kijapani"
- "Kikorea"
- "Kichina"
- "Kiyahudi"
- "1"
- "2"
- "3"
- "4"
- "5"
- "6"
- "7"
"Lugha"
"Hali ya hewa ya Nchini"
"Hali ya hewa ya Nchini imewezeshwa"
"Hali ya hewa ya eneo imelemazwa"
"Ripoti za Trafiki za Eneo"
"Ripoti za Trafiki ya Eneo zimewezeshwa"
"Ripoti za Trafiki ya Eneo zimelemazwa"
"Ratiba za Ndege katiks Uwanja wa Ndege wa Eneo"
"Ratiba za Ndege zinazotoka Uwanja wa ndege wa nchini zimewezeshwa"
"Ratiba za Ndege zinazotoka Uwanja wa ndege wa nchini zimelemazwa"
"Mikahawa"
"Mikahawa imewezeshwa"
"Mikahawa imelemazwa"
"Nyumba"
"Nyumba zimewezeshwa"
"Nyumba zimelemzwa"
"Saraka ya Rejareja"
"Saraka ya Rejareja imewezeshwa"
"Saraka ya Rejareja imezimwa"
"Matangazo"
"Matangazo yamewezeshwa"
"Matangazo yamelemazwa"
"Nukuu za Hisa"
"Nukuu za Hisa zimewezeshwa"
"Nukuu za Hisa zimelemazwa"
"Nafasi za Ajira"
"Nafasi za Ajira zimewezeshwa"
"Nafasi za Ajira zimelemazwa"
"Tiba, Afya, na Hospitali"
"Tiba, Afya, na Hospitali imewezeshwa"
"Tiba, Afya, na Hospitali imelemazwa"
"Habari za Teknolojia"
"Habari za Teknolojia zimewezeshwa"
"Habari za Teknolojia zimelemazwa"
"Kategoria anuwai"
"Kategoria anuwai imewezeshwa"
"Kategoria anuwai imelemazwa"
" (inayopendekezwa)"
"LTE (inapendekezwa)"
"4G (inapendekezwa)"
"Ulimwenguni Kote"
"Chagua mfumo"
"Badilisha mipangilio ya kupiga simu kwa kutumia CDMA"
"Chagua mfumo"
- "Nyumbani tu"
- "Otomatiki"
"Usajili wa CDMA"
"Badilisha kati ya RUIM/SIM na NV"
"usajili"
- "RUIM/SIM"
- "NV"
- "0"
- "1"
"Wezesha kifaa"
"Sanidi huduma ya data"
"Mipangilio ya mtoa huduma"
"Nambari za simu zilizobainishwa"
"Nambari za simu zilizobainishwa pekee (%s)"
"Orodha ya FDN"
"Orodha ya Nambari za Kupiga Simu Zisizobadilika (%s)"
"Uwezeshaji wa FDN"
"Nambari za simu zilizobainishwa zinatumika"
"Nambari za simu zilizobainishwa hazitumiki"
"Washa FDN"
"Lemaza FDN"
"Badilisha PIN2"
"Lemaza FDN"
"Washa FDN"
"Dhibiti nambari za simu zilizobainishwa"
"Badilisha nenosiri la kufikia FDN"
"Dhibiti orodha ya nambari za simu"
"Faragha ya sauti"
"Wezesha gumzo ya faragha iliyoboreshwa"
"Hali ya TTY"
"Weka hali ya TTY"
"Jaribu tena Kiotomatiki"
"Wezesha hali ya kujaribu tena Kiotomatiki"
"Kubadilisha Hali ya TTY hakuruhusiwi wakati wa hangout ya video"
"Ongeza anwani"
"Hariri anwani"
"Futa anwani"
"Piga nambari ya unayewasiliana naye"
"Chapa PIN2"
"Jina"
"Nambari"
"Hifadhi"
"Ongeza nambari za upigaji simu uliobanwa"
"Inaongeza nambari ya upigaji uliobanwa..."
"Nambari ya upigaji simu uliobanwa imeongezwa."
"Hariri nambari za kudumu"
"Inasasisha nambari ya upigaji simu uliobanwa..."
"Nambari ya upigaji simu uliobanwa imesasishwa."
"Futa namba ya upigaji simu ya kudumu"
"Inafuta nambari ya upigaji simu uliobanwa..."
"Nambari ya upigaji simu uliobanwa imefutwa"
"FDN haikusasishwa kwa sababu uliweka PIN isiyo sahihi."
"FDN haijasasishwa kwa sababu nambari inazidi tarakimu %d."
"FDN haikusasishwa. PIN2 haikuwa sahihi, au namba ya simu ilikataliwa."
"Utendakazi wa FDN ulishindwa."
"Inasoma kutoka kwa SIM kadi…"
"Hakuna anwani kwenye SIM kadi yako."
"Chagua anwani za kuingiza"
"Zima hali ya ndegeni ili uingize anwani kutoka kadi ya SIM"
"Wezesha/zima nenosiri la SIM"
"Badilisha nenosiri la SIM"
"PIN ya SIM:"
"PIN ya zamani"
"PIN mpya"
"Thibitisha PIN mpya"
"PIN ya zamani uliyochapa sio sahihi. Jaribu tena."
"PIN ulizochapa hazilingani. Jaribu tena."
"Chapisha nenosiri lenye nambari kati ya 4 na 8."
"Ondoa PIN ya SIM"
"Weka PIN ya SIM"
"Inaweka PIN…"
"PIN imewekwa"
"PIN imeondolewa"
"PIN si sahihi"
"PIN imesasishwa"
"Nenosiri si sahihi. PIN sasa imezuiwa. PUK imeombwa."
"PIN2"
"PIN2 ya zamani"
"Nenosiri la 2 mpya"
"Thibitisha nenosiri la pili mpya"
"PUK2 si sahihi. Jaribu tena."
"PIN2 ya zamani si sahihi. Jaribu tena."
"PIN2 hazilingani. Jaribu tena."
"Weka PIN2 iliyo na kati ya nambari 4 hadi 8."
"Weka PUK2 yenye nambari 8."
"PIN2 imesasishwa"
"Weka msimbo wa PUK2"
"Nenosiri si sahihi. PIN2 sasa Imezuiwa. Ili ujaribu tena, badilisha PIN 2."
"Nenosiri si sahihi. SIM sasa imefungwa. Weka PUK2."
"PUK2 Imezuiwa kabisa."
\n"Una majaribio %d yaliyobaki."
"PIN2 sasa haijazuiwa"
"Hitilafu ya mtandao au SIM kadi"
"Kwisha"
"Nambari ya ujumbe wa sauti"
"Inapiga"
"Inapiga simu tena"
"Simu ya kongamano"
"Simu inayoingia"
"Simu imekamilika"
"Imesitishwa"
"Kukata simu"
"Katika simu"
"Ujumbe mpya wa sauti"
"Barua mpya ya sauti %d"
"Piga %s"
"Nambari ya ujumbe wa sauti haijulikani."
"Hakuna huduma"
"Mtandao uliochagua wa%s haupatikani"
"Washa mtandao wa simu, zima hali ya ndegeni au uzime hali ya kiokoa betri ili upige simu."
"Zima hali ya ndegeni ili upige simu."
"Zima hali ya ndegeni au uunganishe kwenye mtandao pasiwaya ili upige simu."
"Ondoka kwenye hali ya kupiga simu za dharura ili upige simu zisizokuwa za dharura."
"Haijasajiliwa kwa mitandao"
"Mtandao wa simu haupatikani."
"Mtandao wa simu za mkononi haupatikani. Unganisha kwenye mtandao pasiwaya ili upige simu."
"Ili upige simu, weka nambari sahihi."
"Imeshindwa kupiga simu."
"Simu haiwezi kuongezwa kwa sasa. Unaweza kujaribu kuwasiliana kwa kutuma ujumbe."
"Huduma haiwezi kutumika."
"Haiwezi kubadili simu."
"Imeshindwa kuendelea kupiga simu."
"Haiwezi kutenganisha simu."
"Haiwezi kuhamisha."
"Imeshindwa kuunganisha simu."
"Haiwezi kukataa simu."
"Haiwezi kutoa simu."
"Haiwezi kushikilia simu."
"Unganisha kwenye mtandao pasiwaya ili upige simu."
"Washa kipengele cha kupiga simu kupitia Wi-Fi ili upige simu."
"Maelezo ya dharura"
"Mmiliki"
"Gusa tena ili uangalie maelezo"
"Simu ya dharura"
"Nambari ya dharura"
"Nambari za dharura"
"Gusa tena ili upige %s"
"Inawasha redio..."
"Hakuna huduma. Inajaribu tena..."
"Huwezi kuingia katika hali ya ndegeni huku simu ya dharura inaendelea."
"Haiwezi kupiga simu. %s si nambari ya dharura."
"Haiwezi kupiga simu. Piga nambari ya dharura."
"Upigaji simu ya dharura haupatikani"
"Mmiliki wa kifaa pekee ndiye anaweza kuweka misimbo ya PIN/PUK."
"Polisi"
"Gari la wagonjwa"
"Moto"
"%1$s, %2$s"
"Tumia kibodi kubonyeza"
"Shikilia"
"Mwisho"
"Kibao cha kupiga"
"Nyamazisha"
"Ongeza simu"
"Changanyisha simu"
"Badili"
"Dhibiti simu"
"Dhibiti kongamano"
"Kusikika"
"Hangout ya Video"
"Ingiza"
"Leta zote"
"Inaleta anwani za SIM"
"Ingiza kutoka kwa anwani"
"Imeingiza anwani"
"Imeshindwa kuingiza anwani"
"Vifaa vya kusaidia kusikia"
"Washa utumiaji wa kifaa cha kusaidia kusikia"
"Kutuma SMS katika Muda Halisi (RTT) wakati wa kupiga simu"
"Ruhusu uandikaji wa ujumbe wakati unapiga simu"
"RTT huwasaidia wapigaji simu ambao ni viziwi, wasioweza kusikia vyema, wenye matatizo ya kuzungumza au wanaohitaji kufanya zaidi ya kuzungumza.<br> <a href=http://support.google.com/mobile?p=telephony_rtt>Pata maelezo zaidi</a>\n <br><br> - Simu za RTT huhifadhiwa kama manukuu ya ujumbe\n <br> - RTT haipatikani kwa simu za video"
"Kumbuka: RTT haipatikani wakati unatumia mitandao ya ng\'ambo"
- "Zima TTY"
- "TTY Kamili"
- "TTY HCO"
- "TTY VCO"
"Toni za DTMF"
"Weka urefu wa toni za DTMF"
- "Kawaida"
- "Ndefu"
"Ujumbe wa mtandao"
"Ujumbe wa hitilafu"
"Wezesha simu yako"
"Simu maalum inahitaji kupigwa ili kuamilisha huduma ya simu yako. \n\n Baada ya kubonyeza \"Amilisha\", sikiliza maagizo yaliyotolewa ili kuamilisha simu yako."
"Inawasha..."
"Simu inawasha huduma yako ya data kwa vifaa vya mkononi.\n \n Hatua hii inaweza kuchukua hadi dakika 5."
"Ruka uwezeshaji?"
"Kama utaruka kuwezesha, hauwezi kupiga simu au kuunganisha kwa mitandao ya data ya simu (ingawaje unaweza kuunganisha kwa mitandao-hewa). Hadi uiwezeshe simu yako, utaulizwa uiwezeshe kila utakapoiwasha."
"Ruka"
"Washa"
"Simu imeamilishwa."
"Tatizo na uamilisho"
"Fuata maagizo yanayotamkwa hadi usikie kwamba uwezeshaji umekamilika."
"Spika"
"Inasanidi simu yako..."
"Haikuweza kusanidi simu yako"
"Simu yako imeamilishwa sasa. Huenda ikachukua hadi dakika 15 kwa huduma kuanza."
"Simu yako haikuamilishwa. \n Huenda ukahitaji kupata eneo lenye mtandao bora (karibu na dirisha, au nje). \n\nJaribu tena au piga simu kwa huduma ya wateja kwa chaguo zaidi."
"USHINDE ZAIDI WA SPC"
"Nyuma"
"Jaribu tena"
"Ifuatayo"
"EcmExitDialog"
"Umeingia katika gumzo ya kupiga tena simu ya Dharura"
"hali ya kupiga tena simu ya Dharura"
"Muunganisho wa data umelemazwa"
"Hakuna muunganisho wa data mpaka %s"
- Simu itakuwa katika hali ya Simu ya Dharura kwa dakika %s. Ukiwa katika hali hii hakuna programu zinazotumia muunganisho wa data zinazoweza kutumiwa. Je, unataka kuondoka sasa?
- Simu itakuwa katika hali ya Simu ya Dharura kwa dakika %s. Ukiwa katika hali hii hakuna programu zinazotumia muunganisho wa data zinazoweza kutumiwa. Je, unataka kuondoka sasa?
- Kitendo kilichochaguliwa hakipatikani ikiwa katika Simu ya Dharura. Simu itakuwa katika hali ya Simu ya Dharura kwa dakika %s. Je, unataka kuondoka sasa?
- Kitendo kilichochaguliwa hakipatikani ikiwa katika Simu ya Dharura. Simu itakuwa katika hali ya Simu ya Dharura kwa dakika %s. Je, unataka kuondoka sasa?
"Kitendo kilichochaguliwa hakipatikani ikiwa katika simu ya dharura."
"Inatoka kwa hali ya Kupiga tena simu ya Dharura"
"Ndiyo"
"Hapana"
"Ondoa"
"Simu hii iko katika hali ya kuomba upigiwe simu ya dharura"
"Hadi %s"
- Simu hii itakuwa katika hali ya kuomba upigiwe simu ya dharura kwa dakika %s.\nJe, ungependa kuondoka sasa?
- Simu hii itakuwa katika hali ya kuomba upigiwe simu ya dharura kwa dakika %s.\nJe, ungependa kuondoka sasa?
"Huduma"
"Weka mipangilio"
"<Haijawekwa>"
"Mipangilio mingine ya simu"
"Inapiga kupitia %s"
"picha ya anwani"
"nenda kwa faragha"
"chagua anwani"
"Upigaji simu za sauti hauhimiliwi"
"piga simu"
"onyesha vitufe vya kupiga simu"
"Vitufe vya kupiga simu ya Dharura"
"Ujumbe wa Sauti Unaoonekana"
"Weka PIN"
"Badilisha PIN"
"Mlio wa simu na Mtetemo"
"SIM kadi zilizojengewa ndani"
"Washa Hangout ya video"
"Ili uwashe kutumia Hangout ya Video, inabidi uwashe Hali Iliyoimarishwa ya 4G LTE katika mipangilio ya mtandao."
"Mipangilio ya mtandao"
"Funga"
"Simu za dharura"
"Simu za dharula pekee"
"SIM kadi, nafasi: %s"
"Zana za ufikivu"
"Simu ya Wi-Fi kutoka kwa"
"Simu ya Wi-Fi"
"Gusa tena ili ufungue"
"Hitilafu imetokea wakati wa usimbuaji wa ujumbe."
"SIM kadi yako imeanzisha huduma yako na kusasisha uwezo wa simu yako wa kutumia mitandao mingine."
"Kuna simu nyingi mno zinazoendelea. Tafadhali kata au uunganishe simu zinazoendelea kabla hujapiga nyingine."
"Imeshindwa kuunganisha, tafadhali ingiza SIM kadi sahihi."
"Muunganisho wa Wi-Fi umekatika. Simu imekatika."
"Huwezi kupiga simu ya video kwa sababu betri ina chaji kidogo."
"Simu ya video imekatika kwa sababu betri ina chaji kidogo."
"Huwezi kupiga simu za dharura kupitia Wi-Fi katika eneo hili."
"Upigaji simu kupitia Wi-Fi haupatikani katika eneo hili."
"Badilisha PIN ya Ujumbe wa Sauti"
"Endelea"
"Ghairi"
"Sawa"
"Thibitisha PIN yako ya awali"
"Weka PIN yako ya ujumbe wa sauti ili uendelee."
"Weka PIN mpya"
"PIN lazima iwe na nambari %1$d-%2$d."
"Thibitisha PIN yako"
"PIN hazilingani"
"PIN ya ujumbe wa sauti imesasishwa"
"Imeshindwa kuweka PIN"
"Kipengele cha kutumia data kwenye mitandao mingine kimezimwa"
"Kipengele cha kutumia data kwenye mitandao mingine kimewashwa"
"Unatumia mtandao mwingine kwa sasa, mpango wa data unahitajika"
"Unatumia mtandao mwingine kwa sasa, mpango wa data umewashwa"
"Data ya mtandao wa simu imeisha"
"Data ya mtandao wa simu imeisha"
"Ongeza data ya simu kupitia %s"
"Hakuna mpango wa kutumia mitandao mingine"
"Ongeza mpango wa kutumia mitandao mingine kupitia %s"
"Unaweza kuongeza data ya simu mpango wa kutumia mitandao mingine kupitia kampuni yako ya simu, %s."
"Je, ungependa kuongeza data?"
"Huenda ukahitaji kuongeza data kupitia %s"
"ONGEZA DATA"
"GHAIRI"
"Simu imekamilika"
"Hali ya ndegeni imewashwa"
"Imeshindwa kufikia SIM kadi"
"Mtandao wa simu za mkononi haupatikani"
"Nambari ya simu unayojaribu kupiga ina hitilafu. Msimbo wa hitilafu nambari 1."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 3."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 6."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 8."
"Imeshidwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 16."
"Mtumiaji ana shughuli"
"Mtumiaji hajibu"
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 19."
"Simu imekataliwa"
"Nambari imebadilishwa"
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 25."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 26."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 27."
"Muundo usio sahihi wa nambari (nambari haijakamilika)"
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 29."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 30."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 31."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 34."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 38."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 41."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 42."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 43."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 44."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 47."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 49."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 50."
"Imeshidwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 55."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 57."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 58."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 63."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 65."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 68."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 69."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 70."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 79."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 81."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 87."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 88."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 91."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 95."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 96."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 97."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 98."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 99."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 100."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 101."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 102."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 111."
"Imeshindwa kupiga simu. Msimbo wa hitilafu nambari 127."
"Kuzuia upigaji simu"
"Washa"
"Zima"
"Simu zote unazopiga"
"Je, ungependa kuacha kuzuia simu zote unazopiga?"
"Je, ungependa kuzuia simu zote unazopiga?"
"Simu za kimataifa unazopiga"
"Je, ungependa kuacha kuzuia simu za kimataifa unazopiga?"
"Je, ungependa kuzuia simu za kimataifa unazopiga?"
"Simu za kimataifa unazopiga ambazo hutumia mitandao mingine"
"Je, ungependa kuacha kuzuia simu za kimataifa unazopiga ambazo hutumia mitandao mingine?"
"Je, ungependa kuzuia simu za kimataifa unazopiga ambazo hutumia mitandao mingine?"
"Zote zinazoingia"
"Je, ungependa kuacha kuzuia simu zote zinazoingia?"
"Je, ungependa kuzuia simu zote zinazoingia?"
"Simu ya kimataifa inayoingia ambayo inatumia mitandao mingine"
"Je, ungependa kuacha kuzuia simu zote za kimataifa zinazoingia na zinazotumia mitandao mingine?"
"Je, ungependa kuzuia simu ya kimataifa inayoingia ambayo inatumia mitandao mingine?"
"Zima zote"
"Zima mipangilio yote ya kuzuia upigaji simu"
"Mipangilio ya kuzuia upigaji simu imezimwa"
"Badilisha nenosiri"
"Badilisha nenosiri la kuzuia upigaji simu"
"Haiwezi kubadilisha nenosiri la kuzuia upigaji simu"
"Manenosiri hayalingani"
"Weka nenosiri lenye tarakimu 4"
"Nenosiri limebadilishwa"
"Nenosiri la awali"
"Nenosiri jipya"
"Thibitisha nenosiri"
"Weka nenosiri"
"Mipangilio ya kuzuia upigaji simu"
"Mtandao unatumika. Tafadhali jaribu kupiga simu yako tena baadaye."
"Kuna msongamano kwenye mtandao. Wasiliana na mtoa huduma wako wa simu kwa usaidizi."
"Simu unayopiga imeelekezwa kwingine."
"Simu imesambazwa."
"Simu inasubiri."
"Ombi la kuzuia nambari limekataliwa."
"Simu kwenye kikundi cha watumiaji teule."
"Simu zinazoingia zimezuiwa."
"Simu unazopiga zimezuiwa."
"Kipengele cha kusambaza simu kimewashwa."
"Simu ya ziada imesambazwa."
"Imefaulu kuhamisha simu."
"Inaendelea kuhamisha simu."
"Simu imesitishwa."
"Simu sasa inaendelea."
"Simu kutoka kwingine ilielekezwa kwako."
"Simu iliyosambazwa."
"Unajiunga kwenye simu ya mkutano."
"Simu iliyositishwa imekatwa."
"Haiwezi kupiga simu kwa sababu tayari kifaa kinaratibiwa kutoa huduma mpya kwa wateja kwa sasa."
"Haiwezi kupiga simu kwa sababu tayari unapiga simu nyingine."
"Haiwezi kupiga simu kwa sababu kuna simu inayoingia ambayo hujajibu. Jibu au ukatae simu hiyo inayoingia kabla ya kupiga simu mpya."
"Haiwezi kupiga simu kwa sababu upigaji simu umezuiwa kupitia kipengele cha mfumo cha ro.telephony.disable-call."
"Haiwezi kupiga simu kwa sababu tayari kuna simu mbili zinazoendelea. Kata mojawapo ya simu hizo au uziunganishe ili ziwe mkutano kabla ya kupiga simu mpya."
"Ili uweze kutumia huduma ya %s, hakikisha data ya mtandao wa simu imewashwa. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya mtandao wa simu."
"Ili uweze kutumia huduma ya %s, hakikisha vipengele vya data ya mtandao wa simu na matumizi ya mitandao ya ng\'ambo vimewashwa. Unaweza kubadilisha hali hizi kwenye mipangilio ya mtandao wa simu."
"Ili uweze kutumia huduma ya %1$s, hakikisha data ya mtandao wa simu imewashwa katika SIM %2$d. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya data ya mtandao wa simu."
"Ili uweze kutumia huduma ya %1$s, hakikisha vipengele vya data ya mtandao wa simu na matumizi ya mitandao ya ng\'ambo vimewashwa katika SIM %2$d. Unaweza kubadilisha hali hizi katika mipangilio ya mtandao wa simu."
"Ondoa"
"Washa Muunganisho wa Data"
"Zima Muunganisho wa Data"
"VoLTE Imetayarishwa"
"Inaruhusu Upigaji Simu ya Video"
"Imetayarishwa kwa Upigaji Simu kupitia Wi-Fi"
"EAB Imetayarishwa"
"Data ya Cbrs"
"Washa DSDS"
"Ungependa Kuzima Kifaa Kisha Ukiwashe?"
"Unahitaji kuzima kifaa chako na ukiwashe tena ili ubadilishe mipangilio hii."
"Zima kisha uwashe"
"Ghairi"
"Nishati ya Redio ya Vifaa vya Mkononi"
"Angalia Kitabu cha Anwani katika SIM"
"Ona Nambari za Simu Zilizobainishwa"
"Angalia Nambari Zilizowekwa na Mtoa Huduma"
"Hali ya Huduma ya IMS"
"Hali ya IMS"
"Imesajiliwa"
"Haijasajiliwa"
"Inapatikana"
"Haipatikani"
"Usajili wa IMS: %1$s\nHuduma ya kupiga simu kupitia LTE: %2$s\nHuduma ya kupiga simu kupitia WiFi: %3$s\nKupiga simu ya video: %4$s\nKiolesura cha UT: %5$s"
"Inatumika"
"Haitumiki"
"Simu za Dharura Pekee"
"Redio Imezimwa"
"Kutimia mitandao ya ng\'ambo"
"Hutumii mitandao ya ng\'ambo"
"Haifanyi kitu"
"Inalia"
"Simu Inaendelea"
"Haijaunganishwa"
"Inaunganisha"
"Imeunganishwa"
"Imesimamishwa"
"Haijulikani"
"pkts"
"baiti"
"dBm"
"asu"
"LAC"
"CID"
"SubId ya sasa:"
"SubId ya SIM chaguomsingi ya data:"
"Kipimo Data cha DL (kbps):"
"Kipimo Data cha UL (kbps):"
"Maelezo ya Mahali Simu ya Mkononi Ilipo (huduma haipo tena):"
"Mipangilio ya Kituo Halisi cha LTE:"
"Kasi ya Kuonyesha Upya Maelezo ya Simu:"
"Maelezo Yote ya Vipimo vya Simu:"
"Huduma ya Data:"
"Unatumia mitandao ya ng\'ambo:"
"IMEI:"
"Kuelekeza Simu Kwingine:"
"Idadi ya PPP Zilizowekwa Upya Tangu Iwashwe:"
"Mtandao wa Sasa:"
"Data Imepokelewa:"
"Huduma ya Sauti:"
"Uthabiti wa Mawimbi:"
"Hali ya Kupiga Simu ya Sauti:"
"Data Imetumwa:"
"Ujumbe Unasubiri Kutumwa:"
"Nambari ya Simu:"
"Chagua Bendi ya Redio"
"Aina ya Mtandao wa Sauti:"
"Aina ya Mtandao wa Data:"
"Chagua faharasa ya simu"
"Weka Aina ya Mtandao Unayoiopendelea:"
"Ita Jina la Mpangishaji(www.google.com) IPv4:"
"Ita Jina la mpangishaji(www.google.com) IPv6:"
"Jaribio la Teja ya HTTP:"
"Tekeleza Jaribio la Mwito"
"SMSC:"
"Sasisha"
"Onyesha upya"
"Geuza Ukaguzi wa DNS"
"Maelezo/Mipangilio Mahususi kwa Kampuni Inayotengeneza Vifaa (OEM)"
"Weka Hali ya Bendi ya Redio"
"Inapakia Orodha ya Bendi…"
"Weka"
"Haijafanikiwa"
"Imefanikiwa"
"Maelezo kuhusu kompyuta kibao"
"Maelezo ya simu"
"Maelezo ya Utaratibu wa Kutayarisha Mtandao"
"Anzisha Utaratibu wa Kutayarisha Mtandao"