"Kilinda vitufe"
"Ingiza msimbo wa PIN"
"Chapa PUK ya SIM na msimbo mpya wa PIN"
"Msimbo wa PUK ya SIM"
"Msimbo mpya wa PIN ya SIM"
"Gusa kuingiza nenosiri "
"Charaza nenosiri ili kufungua"
"Ingiza PIN ili kufungua"
"Msimbo wa PIN usio sahihi."
"Betri imejaa"
"Inachaji"
"Inachaji kwa kasi"
"Inachaji pole pole"
"Unganisha chaja yako."
"Bonyeza Menyu ili kufungua."
"Mtandao umefungwa"
"Hakuna SIM kadi"
"Hakuna SIM kadi katika kompyuta ndogo."
"Hakuna SIM kadi kwenye simu."
"Weka SIM kadi."
"SIM kadi haiko au haisomeki. Weka SIM kadi."
"SIM kadi isiyotumika."
"SIM kadi yako imefungwa kabisa.\n Wasiliana na mtoa huduma wako wa pasi waya ili upate SIM kadi nyingine."
"SIM kadi imefungwa."
"SIM kadi imefungwa na PUK."
"Inafungua SIM kadi..."
"Kufungua kwa ruwaza."
"Kufungua kwa PIN."
"Kufungua kwa nenosiri."
"Eneo la ruwaza."
"Eneo la slaidi."
"Eneo la PIN"
"Eneo la PIN ya SIM"
"Eneo la PUK ya SIM"
"Kengele inayofuata imewekwa ilie saa %1$s"
"Futa"
"Enter"
"Umesahau Ruwaza"
"Mchoro huo si sahihi"
"Nenosiri Lisilo sahihi"
"Nambari ya PIN si sahihi"
"Jaribu tena baada ya sekunde %d."
"Chora ruwaza yako"
"Ingiza PIN ya SIM"
"Weka PIN ya SIM ya \"%1$s\""
"Ingiza PIN"
"Weka Nenosiri"
"SIM sasa imelemazwa. Ingiza msimbo wa PUK ili kuendelea. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo."
"SIM \"%1$s\" sasa imezimwa. Weka msimbo wa PUK ili uendelee. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo."
"Ingiza msimbo wa PIN unaopendelewa"
"Thibitisha msimbo wa PIN unaopendelewa"
"Inafungua SIM kadi..."
"Charaza PIN iliyo na tarakimu kati ya 4 na 8."
"Msimbo wa PUK unafaa kuwa na nambari 8 au zaidi."
"Ingiza upya msimbo sahihi wa PUK. Majaribio yanayorudiwa yatalemaza SIM kabisa."
"Misimbo ya PIN haifanani"
"Majaribio mengi mno ya mchoro"
"Umeingiza nenosiri lako kwa makosa mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umeingiza nenosiri lako kwa makosa mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umechora ruwaza yako ya kufunga kwa makosa mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umekosea majaribio ya kufungua kompyuta kibao mara %1$d. Ukikosea majaribio mengine %2$d, kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umekosea majaribio ya kufungua simu mara %1$d. Ukikosea majaribio mengine %2$d, simu hii itawekwa upya, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umekosea majaribio ya kufungua kompyuta kibao mara %d. Kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umekosea majaribio ya kufungua simu mara %d. Simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umekosea majaribio ya kufungua kompyuta kibao mara %1$d. Ukikosea majaribio mengine %2$d, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."
"Umekosea majaribio ya kufungua simu mara %1$d. Ukikosea majaribio mengine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umekosea majaribio ya kufungua kompyuta kibao mara %d. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."
"Umekosea majaribio ya kufungua simu mara %d. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."
"Umekosea majaribio ya kufungua kompyuta kibao mara %1$d. Ukikosea majaribio mengine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umekosea majaribio ya kufungua simu mara %1$d. Ukikosea majaribio mengine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umekosea majaribio ya kufungua kompyuta kibao mara %d. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umekosea majaribio ya kufungua simu mara %d. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umekosea katika kuweka mchoro wako wa kufungua mara %1$d. Baada ya majaribio %2$d bila kufaulu, utaombwa kufungua kompyuta yako ndogo kwa kutumia akaunti yako ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d."
"Umekosea kuchora mchoro wako wa kufungua mara %1$d. Baada ya majaribio %2$d yasiyofaulu, utaombwa kufungua simu yako kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d."
"Msimbo wa PIN ya SIM usiosahihi sasa lazima uwasiliane na mtoa huduma wako ili ufungue kifaa chako."
- Msimbo wa PIN ya SIM si sahihi, umebakisha majaribio %d.
- Msimbo wa PIN ya SIM si sahihi, umebakisha majaribio %d kabla ya kulazimika kuwasiliana na mtoa huduma wako ili afungue kifaa chako.
"SIM haiwezi kutumika. Wasiliana na mtoa huduma wako."
- Msimbo wa PUK ya SIM si sahihi, umebakisha majaribio %d kabla SIM haijafungwa kabisa.
- Msimbo wa PUK ya SIM si sahihi, umebakisha majaribio %d kabla SIM haijfungwa kabisa.
"Utendakazi wa PIN ya SIM umeshindwa!"
"Utendakazi wa PUK ya SIM umeshindwa!"
"Msimbo Umekubaliwa!"
"Hakuna huduma."
"Badilisha mbinu ya kuingiza data"
"Hali ya ndegeni"
"Mchoro unahitajika baada ya kuanzisha kifaa upya"
"PIN inahitajika baada ya kifaa kuanzishwa upya"
"Nenosiri linahitajika baada ya kuanzisha kifaa upya"
"Mchoro unatakikana ili kuongeza usalama"
"PIN inatakikana ili kuongeza usalama"
"Nenosiri linatakikana ili kuongeza usalama"
"Mchoro unahitajika unapobadili wasifu"
"PIN inahitajika unapobadili wasifu"
"Nenosiri linahitajika unapobadili wasifu"
"Msimamizi wa kifaa amekifunga"
"Umefunga kifaa mwenyewe"
- Kifaa hakijafunguliwa kwa saa %d. Thibitisha mchoro.
- Kifaa hakijafunguliwa kwa saa %d. Thibitisha mchoro.
- Kifaa hakijafunguliwa kwa saa %d. Thibitisha PIN.
- Kifaa hakijafunguliwa kwa saa %d. Thibitisha PIN.
- Kifaa hakijafunguliwa kwa saa %d. Thibitisha nenosiri.
- Kifaa hakijafunguliwa kwa saa %d. Thibitisha nenosiri.
"Haitambuliwi"