"UI ya Mfumo" "Futa" "Ondoa kwenye orodha" "Taarifa za programu-matumizi" "Skrini zako za hivi majuzi huonekana hapa" "Ondosha programu za hivi karibuni" Skrini %d katika Muhtasari Skrini 1 katika Muhtasari "Hakuna arifa" "Inaendelea" "Arifa" "Betri inaisha" "Imebakisha %s" "Imebakisha %s. Kiokoa betri kimewashwa." "Chaji ya USB haihamiliwi.\n Tumia chaka iliyopeanwa." "Kuchaji kwa kutumia USB hakutumiki." "Tumia chaja iliyonunuliwa pamoja na kifaa pekee." "Mipangilio" "Ungependa kuwasha kiokoa betri?" "Washa" "Washa kiokoa betri" "Mipangilio" "Wi-Fi" "Skrini ijizungushe kiotomatiki" "PUUZA" "KIOTOMATIKI" "Arifa" "Bluetooth imefungwa" "Weka mbinu za ingizo" "Kibodi halisi" "Ruhusu programu %1$s kufikia kifaa cha USB?" "Ruhusu programu %1$s kufikia kifaa cha ziada cha USB?" "Je, ungetaka kufungua %1$swakati kifaa cha USB kimeunganishwa?" "Je, ungetaka kufungua %1$swakati kifaa cha USB kimeunganishwa?" "Hakuna programu zilizosakinishwa zinazofanya kazi na kifaa hiki cha USB. Pata maelezo zaidi kuhusu kifaa hiki kwenye %1$s" "Kifaa cha Usb" "Ona" "Kwa kifaa hiki cha USB tumia chaguo-msingi" "Tumia kama chaguo-msingi ya kifuasi hiki cha USB" "Ruhusu utatuaji wa USB?" "Alama ya kidole ya kitufe cha RSA ya kompyuta ni:\n%1$s" "Ruhusu kutoka kwenye kompyuta hii kila wakati" "Utatuzi wa USB hauruhusiwi" "Mtumiaji aliyeingia katika kifaa hiki kwa sasa hawezi kuwasha utatuzi wa USB. Ili uweze kutumia kipengele hiki, tafadhali badili utumie mtumiaji Msimamizi." "Kuza ili kujaza skrini" "Tanua ili kujaza skrini" "Inahifadhi picha ya skrini..." "Inahifadhi picha ya skrini..." "Picha ya skrini inahifadhiwa" "Picha ya skrini imenaswa." "Gonga ili utazame picha ya skrini uliyohifadhi." "Haikuweza kunasa picha ya skrini" "Hitilafu imetokea wakati wa kuhifadhi picha ya skrini." "Haina nafasi ya kutosha kuhifadhi picha ya skrini." "Shirika au programu yako haikuruhusu upige picha za skrini." "Machaguo ya uhamisho wa faili la USB" "Angika kama kichezeshi cha midia (MTP)" "Angika kama kamera (PTP)" "Sakinisha programu ya Kuhamisha Faili ya Android ya Mac" "Nyuma" "Nyumbani" "Menyu" "Muhtasari" "Tafuta" "Kamera" "Simu" "Mapendekezo ya Sauti" "Fungua" "Kitufe cha kufungua, kinasubiri kitambulisho" "Fungua bila kutumia kitambulisho chako" "fungua" "fungua simu" "fungua mapendekezo ya sauti" "fungua kamera" "Chagua muundo mpya wa kazi" "Ghairi" "Kichupo cha kukuza kwa utangamanifu" "Kuza kidogo kwa skrini kubwa." "Bluetooth imeunganishwa." "Bluetooth imetenganishwa" "Hakuna betri." "Pau moja ya betri." "Pau mbili za betri" "Pau tatu za betri." "Betri imejaa." "Hakuna simu" "Mwambaa mmoja wa simu." "Miambaa miwili ya simu" "Miambaa mitatu ya simu." "Ishara ya simu imejaa." "Hakuna data." "Upapi mmoja wa habari" "Miamba miwili ya data." "Fito tatu za habari." "Ishara ya data imejaa." "Imeunganishwa kwenye %s." "Imeunganishwa kwenye %s." "Imeunganishwa kwenye %s." "Hakuna WiMAX." "Pau moja ya WiMAX." "Pau mbili za WiMAX." "Pau tatu za WiMAX." "Ishara ya WiMAX imejaa." "Ethaneti imeondolewa." "Ethaneti imeunganishwa." "Hakuna mtandao" "Haijaunganishwa." "Vipima mtandao sufuri." "Kipima mtandao kimoja." "Vipima mtandao mbili." "Vipima mtandao vitatu." "Nguvu kamili ya mtandao." "Imewashwa." "Imezimwa." "Imeunganishwa." "Inaunganisha." "GPRS" "1 X" "HSPA" "3G" "3.5G" "4G" "LTE" "CDMA" "Inatumia data nje mtandao wako wa kawaida" "Ukingo" "Wi-Fi" "Hakuna SIM." "Data ya Simu za Mkononi" "Imewasha Data ya Simu za Mkononi" "Data ya simu za mkononi Imezimwa" "Shiriki intaneti kwa Bluetooth." "Hali ya ndege." "Hakuna SIM kadi." "Mabadiliko ya mtandao wa mtoa huduma." "Fungua maelezo ya betri" "Asilimia %d ya betri" "Betri inachaji, asilimia %d." "Mipangilio ya mfumo." "Arifa." "Futa arifa" "GPS imewashwa." "Kupata GPS." "Kichapishaji cha Tele kimewezeshwa." "Mtetemo wa mlio" "Mlio wa simu uko kimya." "Hali ya kazi" "Ondoa %s." "%s imeondolewa." "Programu za hivi majuzi zimeondolewa." "Fungua maelezo kuhusu programu ya %s." "Inaanzisha %s." "%1$s %2$s" "Arifa imetupwa." "Kivuli cha arifa." "Mipangilio ya haraka." "Skrini iliyofungwa." "Mipangilio" "Muhtasari." "Funga" "Mtumiaji %s." "%1$s." "Wifi imezimwa." "Wifi imewashwa." "Simu %1$s. %2$s. %3$s." "Betri %s." "Hali ya ndegeni imezimwa." "Hali ya ndegeni imewashwa." "Hali ya ndegeni imezimwa." "Hali ya ndegeni imewashwa." "Kipengee cha usinisumbue kimewashwa, kipaumbele pekee." "Usinisumbue, kimya kabisa." "Kipengee cha usinisumbue kimewashwa, kengele pekee." "Usinisumbue." "Kipengee cha usinisumbue kimezimwa." "Kipengee cha usinisumbue kimezimwa." "Kipengee cha usinisumbue kimewashwa." "Bluetooth" "Bluetooth imezimwa." "Bluetooth imewashwa." "Bluetooth inaunganishwa." "Bluetooth imeunganishwa." "Bluetooth imezimwa." "Bluetooth imewashwa." "Programu ya Kuonyesha mahali ulipo imezimwa." "Programu ya kuonyesha mahali ulipo imewashwa." "Programu ya Kuonyesha mahali ulipo imezimwa." "Programu ya Kuonyesha mahali ulipo imewashwa." "Kengele imewekwa %s." "Funga paneli." "Muda zaidi." "Muda kidogo" "Tochi imezimwa." "Tochi haipatikani." "Tochi inawaka." "Tochi imezimwa." "Tochi imewashwa." "Ugeuzaji rangi umezimwa." "Ugeuzaji rangi umewashwa." "Mtandao-hewa unaoweza kuhamishika umezimwa." "Mtandao-hewa unaoweza kuhamishika umewashwa." "Utumaji wa skrini umesitishwa." "Hali ya kazi imezimwa." "Hali ya kazi imewashwa." "Hali ya kazi imezimwa." "Hali ya kazi imewashwa." "Kiokoa Data kimezimwa." "Kiokoa Data kimewashwa." "Ung\'aavu wa skrini" "Data ya 2G-3G imesitishwa" "Data ya 4G imesitishwa" "Data ya simu ya mkononi imesitishwa" "Data imesitishwa" "Kwa sababu ulifikia kiwango cha juu cha data kilichowekwa, kifaa kimesitisha matumizi ya data katika awamu hii iliyosalia.\n\n Kuendelea kunaweza kusababisha malipo kwa mtoa huduma wako." "Endelea" "Hakuna muunganisho wa mtandao" "Mtandao-hewa umeunganishwa" "Inatafuta GPS" "Mahali pamewekwa na GPS" "Maombi ya eneo yanatumika" "Futa arifa zote." "+ %s" Kuna arifa %s zaidi katika kikundi. Kuna arifa %s zaidi katika kikundi. "Mipangilio ya arifa" "Mipangilio ya %s" "Skrini itazunguka kiotomatiki." "Skrini imefungwa sasa katika uelekezo wa mandhari." "Skrini imefungwa katika uelekeo wa picha." "Skrini sasa itazunguka kiotomatiki." "Skrini sasa imefungwa katika mkao wa ulalo." "Skrini sasa imefungwa katika mkao wa wima." "Sanduku la Vitindamlo" "Taswira ya skrini" "Ethernet" "Usinisumbue" "Kipaumbele tu" "Kengele pekee" "Kimya kabisa" "Bluetooth" "Bluetooth (Vifaa %d)" "Bluetooth Imezimwa" "Hakuna vifaa vilivyooanishwa vinavyopatikana" "Ung\'avu" "Zungusha kiotomatiki" "Skrini ijizungushe kiotomatiki" "Weka kuwa %s" "Mzunguko umefungwa" "Wima" "Mlalo" "Mbinu ya uingizaji" "Kutambua Eneo" "Kitambua eneo kimezimwa" "Kifaa cha midia" "RSSI" "Simu za Dharura Pekee" "Mipangilio" "Muda" "Mimi" "Mtumiaji" "Mtumiaji mpya" "Wi-Fi" "Haijaunganishwa" "Hakuna Mtandao" "Wi-Fi Imezimwa" "Imewasha Wi-Fi" "Hakuna mitandao ya Wi-Fi inayopatikana" "Tuma" "Inatuma" "Kifaa hakina jina" "Tayari kutuma" "Hakuna vifaa vilivyopatikana" "Ung\'avu" "KIOTOMATIKI" "Pindua rangi" "Hali ya kusahihisha rangi" "Mipangilio zaidi" "Nimemaliza" "Imeunganishwa" "Inaunganisha..." "Kusambaza mtandao" "Mtandao-hewa" "Arifa" "Tochi" "Data ya simu ya mkononi" "Matumizi ya data" "Data iliyosalia" "Imezidi kikomo" "%s imetumika" "kikomo %s" "Onyo %s" "Hali ya kazi" "Hakuna vipengee vya hivi karibuni" "Umeondoa vipengee vyote" "Maelezo ya Programu" "kudumisha programu moja" "tafuta" "Haikuweza kuanzisha %s." "%s imezimwa katika hali salama." "Futa zote" "Programu haiwezi kutumia skrini iliyogawanywa" "Buruta hapa ili utumie skrini iliyogawanywa" "Gawanya Mlalo" "Gawanya Wima" "Maalum Iliyogawanywa" "Betri imejaa" "Inachaji" "Imebakisha %s ijae" "Haichaji" "Huenda mtandao\nunafuatiliwa" "Tafuta" "Sogeza juu kwa %s ." "Sogeza kushoto kwa %s ." "Hutasumbuliwa na sauti na mitetemo, isipokuwa kengele, vikumbusho, matukio na wapigaji simu utakaobainisha." "Badilisha kukufaa" "Hatua hii huzuia sauti na mitetemo YOTE, ikiwa na pamoja na ile inayotokana na kengele, muziki, video na michezo. Bado utaweza kupiga simu." "Hatua hii huzuia sauti na mitetemo YOTE, ikiwa ni pamoja na ile inayotokana na kengele, muziki, video na michezo." "%d+" "Arifa zisizo za dharura sana ziko hapo chini" "Gonga tena ili ufungue" "Telezesha kidole ili ufungue" "Telezesha kidole kutoka kwa aikoni ili ufikie simu" "Telezesha kidole kutoka aikoni ili upate mapendekezo ya sauti" "Telezesha kidole kutoka aikoni ili ufikie kamera" "Kimya kabisa. Hatua hii pia itanyamazisha wasomaji wa skrini." "Kimya kabisa" "Kipaumbele tu" "Kengele pekee" "Kimya\nkabisa" "Kipaumbele\npekee" "Kengele\npekee" "Inachaji (Imebakisha %s ijae)" "Inachaji kwa kasi (itajaa baada ya %s)" "Inachaji pole pole (itajaa baada ya %s)" "Badili mtumiaji" "Badili mtumiaji, mtumiaji wa sasa %s" "Mtumiaji wa sasa %s" "Onyesha wasifu" "Ongeza mtumiaji" "Mtumiaji mpya" "Aliyealikwa" "Ongeza aliyealikwa" "Ondoa aliyealikwa" "Ungependa kumwondoa aliyealikwa?" "Data na programu zote katika kipindi hiki zitafutwa." "Ondoa" "Karibu tena, mwalikwa!" "Je, unataka kuendelea na kipindi chako?" "Anza tena" "Ndiyo, endelea" "Mtumiaji mgeni" "Ili uweze kufuta programu na data, mwondoe mtumiaji aliyealikwa" "ONDOA MGENI" "Ondoa mtumiaji" "Mwondoe mtumiaji wa sasa" "ONDOA MTUMIAJI" "Ungependa kuongeza mtumiaji?" "Mtumiaji mpya unayemwongeza anahitaji kuongeza akaunti yake.\n\nMtumiaji yoyote anaweza kusasisha programu kwa niaba ya watumiaji wengine wote." "Je, ungependa kuondoa mtumiaji?" "Programu na data yote ya mtumiaji huyu itafutwa." "Ondoa" "Kiokoa betri kimewashwa" "Hupunguza utendaji na data ya chini chini" "Zima kiokoa betri" "%s itaanza kupiga picha kila kitu kinachoonyeshwa kwenye skrini yako." "Usionyeshe tena" "Futa zote" "Anza sasa" "Hakuna arifa" "Huenda kifaa kinafuatiliwa" "Huenda wasifu ukafuatiliwa" "Huenda mtandao unafuatiliwa" "Ufuatiliaji wa kifaa" "Ufuatiliaji wasifu" "Ufuatiliaji wa mtandao" "Zima VPN" "Ondoa VPN" "Kifaa chako kinasimamiwa na %1$s.\n\nMsimamizi wako anaweza kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa kampuni, programu, data inayohusiana na kifaa chako, na maelezo ya mahali kilipo kifaa chako. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako." "Uliruhusu programu iweke muunganisho wa VPN.\n\nProgramu hii inaweza kufuatilia shughuli za kifaa na mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Kifaa chako kinasimamiwa na %1$s.\n\nMsimamizi wako anaweza kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa kampuni, programu, data inayohusiana na kifaa chako, na maelezo ya mahali kilipo kifaa chako.\n\nUmeuganishwa kwenye VPN, ambayo inaweza kufuatilia shughuli ya mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu, na tovuti.\n\n Kwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako." "Wasifu wako wa kazini unasimamiwa na %1$s. \n\nMsimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia shughuli ya mtandao wako ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu, na tovuti. \n\nKwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako.\n\nUmeunganishwa pia kwenye VPN, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako." "VPN" "Umeunganishwa kwenye %1$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Umeunganishwa kwenye %1$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Wasifu wako wa kazini unasimamiwa na %1$s. Wasifu huu umeunganishwa kwenye %2$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu, na tovuti. \n\nKwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako." "Wasifu wako wa kazini unasimamiwa na %1$s. Wasifu huu umeunganishwa kwenye %2$s, ambayo inaweza kufuatilia mtandao wako wa kazini, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti. \n\n Wewe pia umeunganishwa kwenye %3$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako kibinafsi." "Kifaa chako kinasimamiwa na %1$s. \n\nMsimamizi wako anaweza kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa kampuni, programu, data inayohusiana na kifaa chako, na maelezo ya mahali kilipo kifaa chako. \n\n Umeuganishwa kwenye %2$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli ya mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu, na tovuti. \n\n Kwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako." "Kifaa kitaendelea kuwa katika hali ya kufungwa hadi utakapokifungua mwenyewe" "Pata arifa kwa haraka" "Zitazame kabla hujafungua" "Hapana, asante" "Sanidi" "%1$s. %2$s" "Komesha sasa" "Panua" "Kunja" "Skrini imebandikwa" "Utaendelea kuona hali hii hadi utakapobandua. Gusa na ushikilie kipengele cha Nyuma ili kubandua." "Nimeelewa" "Hapana, asante" "Ungependa kuficha %1$s?" "Itaonekana tena wakati mwingine utakapoiwasha katika mipangilio." "Ficha" "%1$s inataka kuwa mazungumzo ya sauti." "Ruhusu" "Kataa" "%1$s ni mazungumzo ya sauti" "Gonga ili urejeshe picha ya asili." "Unatumia wasifu wako wa kazini" "%1$s. Gonga ili urejeshe." "%1$s. Gonga ili uweke mtetemo. Huenda ikakomesha huduma za zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia." "%1$s. Gonga ili ukomeshe. Huenda ikakomesha huduma za zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia." "Inaonyesha %s ya vidhibiti vya sauti. Telezesha kidole juu ili uondoe." "Imeficha vidhibiti vya sauti" "Kipokea Ishara cha SystemUI" "Onyesha asilimia ya betri iliyopachikwa" "Onyesha asilimia ya kiwango cha betri ndani ya aikoni ya sehemu ya arifa inapokuwa haichaji" "Mipangilio ya Haraka" "Sehemu ya kuonyesha hali" "Muhtasari" "Hali ya onyesho" "Washa hali ya onyesho" "Onyesha hali ya onyesho" "Ethaneti" "Kengele" "Wasifu wa kazini" "Hali ya ndegeni" "Ongeza kigae" "Kigae cha Tangazo" "Hutasikia kengele yako inayofuata ya saa %1$s usipozima hii kabla ya wakati huo" "Hutasikia kengele yako inayofuata ya saa %1$s" "saa %1$s" "siku ya %1$s" "Mipangilio ya Haraka, %s." "Mtandao-hewa" "Wasifu wa kazini" "Kinafurahisha kwa baadhi ya watu lakini si wote" "Kipokea Ishara cha System UI kinakupa njia zaidi za kugeuza na kubadilisha kiolesura cha Android ili kikufae. Vipengele hivi vya majaribio vinaweza kubadilika, kuharibika, au kupotea katika matoleo ya siku zijazo. Endelea kwa uangalifu." "Vipengele hivi vya majaribio vinaweza kubadilika, kuharibika, au kupotea katika matoleo ya siku zijazo. Endelea kwa uangalifu." "Nimeelewa" "Hongera! Kipokea Ishara cha System UI kimeongezwa kwenye Mipangilio" "Ondoa kwenye Mipangilio" "Je, ungependa kuondoa Kipokea ishara cha SystemUI kwenye Mipangilio na uache kutumia vipengele vyake vyote?" "Programu haijasakinishwa kwenye kifaa chako" "Onyesha sekunde za saa" "Onyesha sekunde za saa katika sehemu ya arifa. Inaweza kuathiri muda wa matumizi ya betri." "Panga Upya Mipangilio ya Haraka" "Onyesha unga\'avu katika Mipangilio ya Haraka" "Ruhusu kugawanya skrini kwa ishara ya kutelezesha kidole juu" "Washa kipengele cha ishara ili utumie skrini iliyogawanywa kwa kutelezesha kidole juu kutoka kitufe cha Muhtasari" "Ya majaribio" "Je, ungependa kuwasha Bluetooth?" "Ili uunganishe Kibodi yako kwenye kompyuta yako kibao, lazima kwanza uwashe Bluetooth." "Washa" "Onyesha arifa bila sauti" "Zuia arifa zote" "Usinyamazishe" "Usinyamazishe wala kuzuia" "Udhibiti wa arifa" "Imewashwa" "Imezimwa" "Ukiwa na udhibiti wa arifa, unaweza kuweka kiwango cha umuhimu wa arifa za programu kuanzia 0 hadi 5. \n\n""Kiwango cha 5"" \n- Onyesha katika sehemu ya juu ya orodha ya arifa \n- Ruhusu ukatizaji wa skrini nzima \n- Ruhusu arifa za kuchungulia kila wakati\n\n""Kiwango cha 4"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima\n- Ruhusu arifa za kuchungulia kila wakati \n\n""Kiwango cha 3"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima\n- Usiruhusu kamwe arifa za kuchungulia\n\n""Kiwango cha 2"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima\n- Usiruhusu kamwe arifa za kuchungulia \n- Usiruhusu kamwe sauti au mtetemo \n\n""Kiwango cha 1"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima \n- Usiruhusu kamwe arifa za kuchungulia \n- Usiruhusu kamwe sauti na mtetemo \n- Usionyeshe skrini iliyofungwa na sehemu ya arifa \n- Onyesha katika sehemu ya chini ya orodha ya arifa \n\n""Kiwango cha 0"" \n- Zuia arifa zote kutoka programu" "Umuhimu wa Arifa: Kiotomatiki" "Umuhimu wa Arifa: Kiwango cha 0" "Umuhimu wa Arifa: Kiwango cha 1" "Umuhimu wa Arifa: Kiwango cha 2" "Umuhimu wa Arifa: Kiwango cha 3" "Umuhimu wa Arifa: Kiwango cha 4" "Umuhimu wa Arifa: Kiwango cha 5" "Programu hubaini umuhimu wa kila arifa." "Usionyeshe arifa zozote kutoka programu hii." "Usiruhusu ukatizaji wa skrini nzima, arifa za kuchungulia, sauti au mtetemo. Usionyeshe katika skrini iliyofungwa na sehemu ya kuonyesha hali." "Usiruhusu ukatizaji wa skrini nzima, arifa za kuchungulia, sauti au mtetemo." "Usiruhusu arifa za kuchungulia au ukatizaji wa skrini nzima." "Ruhusu arifa za kuchungulia kila wakati. Usiruhusu ukatizaji wa skrini nzima." "Ruhusu arifa za kuchungulia na ukatizaji wa skrini nzima." "Mipangilio zaidi" "Nimemaliza" "Vidhibiti vya arifa za %1$s" "Rangi na mwonekano" "Hali ya usiku" "Rekebisha onyesho" "Imewashwa" "Imezimwa" "Washa kiotomatiki" "Badilisha kuwa Hali ya Usiku kulingana na mahali na wakati" "Hali ya Usiku inapowashwa" "Tumia mandhari ya giza katika Mfumo wa Uendeshaji wa Android" "Rekebisha kivulivuli" "Rekebisha mwangaza" "Mandhari yenye giza yametumika katika maeneo muhimu ya Mfumo wa Uendeshaji wa Android ambayo kwa kawaida huonyeshwa katika mandhari yenye mwangaza, kama vile Mipangilio." "Tumia" "Thibitisha mipangilio" "Baadhi ya mipangilio ya rangi inaweza kufanya kifaa hiki kisitumike. Bofya Sawa ili uthibitishe mipangilio hii ya rangi, vinginevyo, mipangilio hii itajiweka upya baada ya sekunde 10." "Matumizi ya betri" "Kiokoa Betri hakipatikani unapochaji betri" "Kiokoa Betri" "Hupunguza data ya chini chini na utendaji" "Kitufe cha %1$s" "Mwanzo" "Nyuma" "Juu" "Chini" "Kushoto" "Kulia" "Katikati" "Sogeza" "Nafasi" "Enter" "Nafasinyuma" "Cheza/Sitisha" "Simamisha" "Inayofuata" "Iliyotangulia" "Rudisha nyuma" "Sogeza mbele Haraka" "Page Up" "Page Down" "Futa" "Mwanzo" "Mwisho" "Ingiza" "Num Lock" "Numpad %1$s" "Mfumo" "Mwanzo" "Zilizotumika majuzi" "Nyuma" "Arifa" "Mikato ya Kibodi" "Badilisha mbinu ya kuingiza data" "Programu" "Programu ya maagizo ya sauti" "Kivinjari" "Anwani" "Barua pepe" "Ujumbe wa papo kwa papo" "Muziki" "YouTube" "Kalenda" "Onyesha katika vidhibiti vya sauti" "Usinisumbue" "Njia ya mkato ya vitufe vya sauti" "Ondoa hali ya usinisumbue sauti inapoongezwa" "Betri" "Saa" "Vifaa vya sauti" "Imeunganisha spika za masikioni" "Imeunganisha vifaa vya sauti" "Kiokoa Data" "Kiokoa Data kimewashwa" "Kiokoa Data kimezimwa" "Imewashwa" "Imezimwa" "Sehemu ya viungo muhimu" "Anza" "Weka katikati" "Mwisho" "Kiweka nafasi" "Swichi ya Menyu / Kibodi" "Chagua kitufe ili uongeze" "Ongeza kitufe" "Hifadhi" "Weka upya" "Kitufe cha mwanzo hakijapatikana" "Kitufe cha Mwanzo kinahitajika ili uweze kutumia viungo vya kifaa hiki. Tafadhali ongeza kitufe cha mwanzo kabla ya kuhifadhi." "Rekebisha upana wa kitufe" "Ubao klipu" "Kipengele cha Ubao klipu hukuwezesha kuburuta vipengee moja kwa moja hadi kwenye ubao klipu. Unaweza pia kuburuta vipengee moja kwa moja kutoka kwenye ubao klipu kama vipo." "Kitufe maalum cha uelekezaji" "Msimbo wa ufunguo" "Vitufe vya msimbo wa ufunguo vinaruhusu vitufe vya kibodi kuongezwa kwenye Sehemu ya viungo muhimu. Vikibonyezwa, vinaiga kitufe kilichochaguliwa cha kibodi. Kwanza, ufunguo lazima uchaguliwe kwa kitufe, kisha picha itakayoonyeshwa kwenye kitufe." "Chagua Kitufe cha Kibodi" "Onyesho la kuchungulia" "Buruta ili uongeze vigae" "Buruta hapa ili uondoe" "Badilisha" "Wakati" "Onyesha saa, dakika na sekunde" "Onyesha saa na dakika (chaguo-msingi)" "Usionyeshe aikoni hii" "Onyesha asilimia kila wakati" "Onyesha asilimia wakati inachaji (chaguo-msingi)" "Usionyeshe aikoni hii" "Nyingine" "Kitenganishi cha skrini inayogawanywa" "Skrini nzima ya kushoto" "Kushoto 70%" "Kushoto 50%" "Kushoto 30%" "Skrini nzima ya kulia" "Skrini nzima ya juu" "Juu 70%" "Juu 50%" "Juu 30%" "Skrini nzima ya chini" "Nafasi ya %1$d, %2$s. Gonga mara mbili ili ubadilishe." "%1$s. Gonga mara mbili ili uongeze." "Nafasi ya %1$d. Gonga mara mbili ili uchague." "Hamisha %1$s" "Ondoa %1$s" "%1$s imeongezwa kwenye nafasi ya %2$d" "%1$s imeondolewa" "%1$s imehamishiwa kwenye nafasi ya %2$d" "Kihariri cha Mipangilio ya haraka." "Arifa kutoka %1$s: %2$s" "Huenda programu isifanye kazi kwenye skrini inayogawanywa." "Programu haiwezi kutumia skrini iliyogawanywa." "Fungua mipangilio." "Fungua mipangilio ya haraka." "Funga mipangilio ya haraka." "Imeweka kengele." "Umeingia katika akaunti ya %s" "Hakuna intaneti." "Fungua maelezo." "Fungua mipangilio ya %s." "Badilisha orodha ya mipangilio." "Ukurasa wa %1$d kati ya %2$d"