"Endesha gari kwa usalama"
"Jifahamishe kikamilifu kuhusu masharti ya kuendesha gari na utii kila wakati sheria zilizopo. Huenda maelekezo yasiwe sahihi, hayajakamilika, ni hatari, hayafai, hayaruhusiwi au yanahusisha kuvuka maeneo ya kiutawala. Huenda pia maelezo ya biashara yasiwe sahihi au hayajakamilika. Data si ya wakati halisi na hatuwezi kukupa hakikisho kuhusu usahihi wa mahali. Usitumie kifaa chako cha mkononi au programu zisizo za Android Auto wakati unapoendesha gari."