"Uwekaji wa wasifu wa kazini"
"Lo!"
"Weka mipangilio ya wasifu wa kazini"
"Shirika lako linadhibiti kifaa chako na kukiweka salama. Unadhibiti vitu vingine vyote kwenye kifaa chako."
"Shirika lako litadhibiti kifaa hiki na kukiweka salama."
"Programu ifuatayo itahitaji kufikia wasifu huu:"
"Programu zifuatazo zitadhibiti kifaa chako:"
"Inayofuata"
"Inaweka mipangilio ya wasifu wako wa kazi..."
"Msimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia na kudhibiti mipangilio, idhini ya kufikia vipengele vya shirika, programu, ruhusa na data inayohusiana na wasifu huu, ikiwa ni pamoja na shughuli zako za mtandao na vile vile maelezo kuhusu mahali kifaa chako kilipo, rekodi ya simu zilizopigwa na historia ya utafutaji wa anwani."
"Msimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia na kudhibiti mipangilio, idhini ya kufikia vipengele vya shirika, programu, ruhusa, vipengele vya kifaa vya kuzuia wizi na data inayohusiana na kifaa hiki, ikiwa ni pamoja na shughuli za mtandao na maelezo kuhusu mahali kifaa chako kilipo."
"Ili utumie vipengele vya kifaa vya kuzuia wizi, lazima uwe na skrini inayoweza kufungwa kwa nenosiri kwenye kifaa chako."
"Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako."
"Pata maelezo zaidi"
"Ghairi"
"Sawa"
"Ninakubali"
"Wasifu wa kazini"
"Mtumiaji wa kwanza"
"Ungependa kuondoa wasifu wa kazini?"
"Wasifu wa kazi tayari upo na unasimamiwa na:"
"Wasifu huu wa kazini unasimamiwa kwa niaba ya %s kwa kutumia:"
"Kabla ya kuendelea, ""soma hapa""."
"Ukiendelea, utafuta data na programu zote zilizo kwenye wasifu huu."
"Futa"
"Ghairi"
"Ili uendelee kusanidi wasifu wako wa kazini, utahitaji kusimba kifaa chako kwa njia fiche. Hatua hii inaweza kuchukua muda."
"Ili uweze kuendelea kupanga kifaa chako, utalazimika ukisimbe kwa njia fiche. Hatua hii inaweza kuchukua muda."
"Simba kwa njia fiche"
"Usimbaji fiche umekamilika"
"Gonga ili uendelee kuweka mipangilio ya wasifu wako wa kazini"
"Haikuweza kusanidi wasifu wako wa kazi. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari au ujaribu tena baadaye."
"Kifaa chako hakitumii wasifu wa kazini"
"Mtumiaji huyu hapaswi kuwa na wasifu wa kazini."
"Wasifu wa kazini hauwezi kusanidiwa kwenye kifaa kinachosimamiwa"
"Wasifu wa kazi haukuweza kuundwa kwa sababu umefikia idadi ya juu ya watumiaji kwenye kifaa chako. Ondoa angalau mtumiaji moja na ujaribu tena."
"Wasifu wako wa kazini hauwezi kutumiwa na kifungua programu hiki. Itabidi ubadili hadi kifungua programu kinachooana."
"Ghairi"
"Sawa"
"Usanidi wa Mtumiaji Hujakamilika"
"Mtumiaji wa kifaa cha kazini"
"Weka mipangilio ya kifaa cha kazi"
"Inachakata data ya kuweka mipangilio..."
"Inaunganisha kwenye Wi-Fi..."
"Inapakua programu ya msimamizi..."
"Inasakinisha programu ya msimamizi..."
"Inaweka mipangilio ya mmiliki wa kifaa..."
"Kifaa chako hakitumii usimbaji fiche. Wasiliana na idara yako ya TEHAMA."
"Je, ungependa kuacha kusanidi na ufute data iliyomo kwenye kifaa chako?"
"Ghairi"
"Sawa"
"Weka upya"
"Haikuweza kusanidi kifaa chako. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari."
"Kifaa hiki tayari kimesanidiwa."
"Haikuweza kuunganisha kwenye Wi-Fi"
"Kifaa hiki kimefungwa kwa ulinzi dhidi ya kurejesha katika hali kilichotoka nayo kiwandani. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari."
"Inafuta"
"Tafadhali subiri..."
"Haikuweza kutumia programu ya msimazi kutokana na hitilafu ya checksum. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari."
"Haikuweza kupakua programu ya msimamizi"
"Haiwezi kutumia programu ya msimamizi. Inakosa vipengele au ina hitilafu. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari."
"Haikuweza kusakinisha programu ya msimamizi"
"Ungependa kuacha kusanidi?"
"Hapana"
"Ndiyo"
"Inaghairi…"
"Je, ungependa kuacha kuweka mipangilio ya kifaa chako?"
"Unaweza kuweka mipangilio ya wasifu wako baadaye kutoka programu ya udhibiti wa kifaa inayotumiwa na shirika lako."
"Endelea"
"Simamisha"
"Inaandaa"
"Inasanidi vyeti vya CA"
"Weka mipangilio ya wasifu wako. Anza kuweka mipangilio"
"Weka mipangilio ya wasifu wako. Usimbaji fiche"
"Weka mipangilio ya wasifu wako. Inaonyesha maendeleo"
"Weka mipangilio ya kifaa chako. Anza kuweka mipangilio"
"Weka mipangilio ya kifaa chako. Usimbaji fiche"
"Weka mipangilio ya kifaa chako. Inaonyesha maendeleo"
"Kitufe cha pata maelezo zaidi"
"Aikoni ya %1$s"
"Iache kusasisha mipangilio na irejeshe hali iliyotoka nayo kiwandani?"
"Hatua ya kufunga shughuli hii ya kuweka mipangilio itarejesha kifaa chako katika hali iliyotoka nayo kiwandani na kuleta skrini ya kwanza."
"Ghairi"
"Weka mipangilio ya kifaa upya"