"Kisimbuzi cha USB cha Kupokea Mawimbi ya TV" "Washa" "Zima" "Tafadhali subiri ili uchakataji umalizike" "Chagua chanzo chako cha stesheni" "Hakuna Mawimbi" "Haikuweza kupata kituo cha %s" "Imeshindwa kubadilisha kituo cha TV" "Programu ya kisimbuzi cha USB ilisasishwa hivi majuzi. Tafadhali tafuta vituo tena." "Kipengele cha sauti cha AC3 hakipatikani" "Kuweka mipangilio ya kitafuta vituo" "Kuweka mipangilio ya kitafuta vituo cha USB" "Thibitisha kuwa kitafuta vituo cha USB kimechomekwa kwenye chanzo cha nishati na kuunganishwa kwenye chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nKama unatumia antena ya hewani, huenda ukahitajika kurekebisha mkao wake au kule inakoelekezwa ili upate vituo vingi zaidi. Kwa matokeo bora zaidi, iweke sehemu ya juu iliyo karibu na dirisha." "Endelea" "Si sasa" "Ungependa kuweka upya mipangilio ya vituo?" "Hali hii itaondoa vituo vinavyopatikana kwenye kitafuta vituo cha USB na kutafuta vituo upya tena. \n\nThibitisha kuwa kitafuta vituo cha USB kimechomekwa kwenye chanzo cha nishati na kuunganishwa kwenye chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nKama unatumia antena ya hewani, rekebisha mkao wake au kule inakoelekezwa ili upate vituo vingi zaidi. Kwa matokeo bora zaidi, weka antena yako sehemu ya juu iliyo karibu na dirisha." "Endelea" "Ghairi" "Chagua aina ya muunganisho" "Chagua Antena kama unatumia antena ya nje iliyounganishwa kwenye kitafuta vituo. Chagua Kebo kama vituo vyako vinapeperushwa na mtoa huduma za vifaa vinavyotumia kebo. Kama huna uhakika, aina zote zitatafutwa na huenda utafutaji ukachukua muda mrefu." "Antena" "Kebo" "Sina uhakika" "Kusanidi pekee" "Kuweka mipangilio ya kitafuta vituo cha USB" "Hii inaweza kuchukua dakika kadhaa" Vituo %1$d vimepatikana Kituo %1$d kimepatikana "SIMAMISHA UTAFUTAJI WA VITUO" Vituo %1$d vimepatikana Kituo %1$d kimepatikana Sadakta! Vituo %1$d vimepatikana baada ya kutafuta vituo. Kama hujaridhika, jaribu kurekebisha mkao wa antena na utafute tena. Sadakta! Kituo %1$d kimepatikana baada ya kutafuta vituo. Kama hujaridhika, jaribu kurekebisha mkao wa antena kisha utafute tena. "Imemaliza" "Tafuta tena" "Hakuna Vituo vilivyopatikana" "Hakuna kituo chochote kilichopatikana wakati wa utafutaji. Thibitisha kuwa kitafuta vituo cha USB kimechomekwa kwenye chanzo cha nishati na kuunganishwa kwenye chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nKama unatumia antena ya hewani, rekebisha mkao wake au kule inakoelekezwa. Kwa matokeo bora zaidi, iweke sehemu ya juu iliyo karibu na dirisha na utafute tena." "Tafuta tena" "Imemaliza" "Tafuta vituo vya TV" "Kuweka mipangilio ya kitafuta vituo cha USB"