1<resources xmlns:xliff="urn:oasis:names:tc:xliff:document:1.2"> 2 <string name="migrate_blocked_numbers_dialog_title">Njia mpya na rahisi ya kuzuia</string> 3 <string name="migrate_blocked_numbers_dialog_message">Ili kukulinda vizuri zaidi, Simu inahitaji kubadilisha mipangilio ya kipengele cha kuzuia. Hutapokea simu wala SMS kutoka nambari ulizozizuia na nambari hizo huenda zikashirikiwa na programu zingine.</string> 4 <string name="migrate_blocked_numbers_dialog_allow_button">Ruhusu</string> 5 <string name="old_block_number_confirmation_title">Je, ungependa kuzuia %1$s?</string> 6 <string name="block_number_confirmation_message_vvm">Simu zinazopigwa kutoka nambari hii zitazuiwa na ujumbe wa sauti utafutwa kiotomatiki.</string> 7 <string name="block_number_confirmation_message_no_vvm">Simu zinazopigwa kutoka nambari hii zitazuiwa, lakini mpigaji bado anaweza kukutumia ujumbe wa sauti.</string> 8 <string name="block_number_confirmation_message_new_filtering">Hutapokea simu wala SMS kutoka kwa nambari hii tena.</string> 9 <string name="block_number_ok">ZUIA</string> 10 <string name="unblock_number_confirmation_title">Ungependa kuacha kuzuia nambari %1$s?</string> 11 <string name="unblock_number_ok">ACHA KUZUIA</string> 12 <string name="invalidNumber">%1$s si sahihi.</string> 13 <string name="snackbar_number_blocked">%1$s imezuiwa</string> 14 <string name="snackbar_number_unblocked">%1$s imeondolewa kizuizi</string> 15 <string name="send_to_voicemail_import_failed">Imeshindwa kuingiza</string> 16 <string name="call_blocking_disabled_notification_title">Huduma ya kuzuia simu imezimwa kwa saa 48</string> 17 <string name="call_blocking_disabled_notification_text">Imezimwa kwa sababu simu ya dharura imepigwa.</string> 18</resources> 19